Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UN yatoa wito kwa nchi ya Ecuador komesheni ubaguzi dhidi ya watu wenye asili ya Afrika

UN yatoa wito kwa nchi ya Ecuador komesheni ubaguzi dhidi ya watu wenye asili ya Afrika

Pakua

Serikali ya Ecuador imetakiwa kuongeza juhudi zake ili kuhakikisha sheria inafuatwa na kutekeleza mipango ya kukomesha ubaguzi wa rangi unaowakabilia Raia weusi wa Ecuador na watu wenye asili ya Afrika.

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
2'45"
Photo Credit
WMO/Boris Palma