Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Surua yazidi kuwa jinamizi, mitandao ya jamii yalaumiwa kwa kueneza dhana potofu

Surua yazidi kuwa jinamizi, mitandao ya jamii yalaumiwa kwa kueneza dhana potofu

Pakua

Vifo vinavyotokana na surua na maambukizi ya ugonjwa huo mwaka 2019 vinatarajiwa kuzidi vya mwaka uliopita wakati watu 142 wanaripotiwa kufariki dunia kutokana na ugonjwa huo unaozuilika, limesema shirika la afya ulimwenguni, WHO. Jason Nyakundi na ripoti kamili.

Audio Credit
Flora Nducha Jason Nyakundi
Sauti
1'37"
Photo Credit
©UNICEF/Allan Stephen