Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vijana waandaliwa kwa fursa lukuki kwneye ujenzi wa miundombinu ya mafuta, Uganda

Vijana waandaliwa kwa fursa lukuki kwneye ujenzi wa miundombinu ya mafuta, Uganda

Pakua

Nchi nyingi duniani kote zinakumbana na changamoto ya uhaba wa ajira kwa vijana ambayo ni kizingiti kikubwa katika utekelezaji wa lengo namba moja la malengo yamaendeleo endelevu SDGs linalochagiza juhudi za kutokomeza umaskini wa aina yoyote ile.

Vijanaambao ndio walio wengi na ndio walio nguvu kazi ya mataifa mengi sasa wanhaha kusaka ajira. Kwa kutanbua changamoto hii, serikali ya Uganda na wadau wake wanatumia kila fursa ipatikanayo ili kuwezesha vijana kuajiriwa au kujiajiri baada ya kupatiwa mafunzo na ujuzi wa aina fulani katika sekta mbalimbali. Ili kufahamu kwa undani kuhusu hatua zinazochukuliwa mfano katika sekta yamafuta na gesi, nchini humo nungana na mwandishi wetu wa Uganda John Kibego katika makala ifuatayo.

Audio Credit
Brenda Mbaitsa/John Kibego
Audio Duration
3'42"
Photo Credit
UN