mafuta

Utegemezi wa bidhaa kwa ajili ya mauzo ya nje umeongezeka : UNCTAD

Utegemezi wa bidhaa kwa ajili ya mauzo ya nje umeongezeka katika muongo mmoja uliopita kutoka  nchi 93 kuanzia mwaka wa 2008 hadi 2009  na nchi 101 katika  mwaka 2018-2019

Vijana waandaliwa kwa fursa lukuki kwneye ujenzi wa miundombinu ya mafuta, Uganda

Nchi nyingi duniani kote zinakumbana na changamoto ya uhaba wa ajira kwa vijana ambayo ni kizingiti kikubwa katika utekelezaji wa lengo namba moja la malengo yamaendeleo endelevu SDGs linalochagiza juhudi za kutokomeza umaskini wa aina yoyote ile.

Sauti -
3'42"

Kenya yahaha kulinda mazingira dhidi ya taka ya mafuta

Rasilimali ya mafuta huleta matumaini ya ukuaji wa uchumi wa nchi husika kwani utafutaji, uchimbaji na usafishaji wake huleta fursa nyingi zikiwemo ajira kupitia ukuaji wa viwanda. Lakini kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa  sekta ya mafuta pia  huhatarisha mazingira na afya kutokana na hewa ukaa ya v

Sauti -
4'3"

Bei ya chakula imepungua kidogo mwezi Julai-FAO

Bei ya chakula imepungua kidogo mwezi Julai kufuatia kushuka kwa bei ya nafaka, bidhaa zitokanazo na maziwa na sukati ikilinganishwa na bei za juu za nyama na mafuta.

04 Juni 2019

Katika jariba la Habari la Umoja wa Mataifa hii Leo Assumpta Massoi anakuletea

Sauti -
12'8"

Kuzuia kuingia mafuta Gaza ni hatari inayoweka rehani maisha ya mamilioni ya wagonjwa:McGoldrick

Vikwazo dhidi ya kuingiza mafuta ya dharura yanayohitajika haraka Gaza, ni kitendo cha hatari ambacho kina athiri kubwa kwa haki za watu wa Gaza na kuyaweka rehani maisha yao.

Hebu fikiria maisha bila maji , kwa watoto wa Yemen hiyo ni kama ada

Hebu fikiria maisha bila maji , kwa watoto wa Yemen hiyo ni kama ada

Ugonjwa wa kipindupindu na kuharisha umeongezeka mara dufu nchini Yemen mbali na zahma nyingine kama njaa, ukosefu wa mahitaji muhimu na mahangaiko ya vita kila uchao.

Sauti -