Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Majanga, vita, magonjwa vyazidisha mahitaji ya binadamu kwa mwaka 2020

Majanga, vita, magonjwa vyazidisha mahitaji ya binadamu kwa mwaka 2020

Pakua

Watu zaidi ya milioni 168 kote duniani mwaka 2020 watahitaji msaada wa kibinadamu na ulinzi katika migogoro inayoendelea kwenye nchi Zaidi ya 50 limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu mimasuala ya kibinadamu na misaada ya dharura OCHA. Assumpta Massoi na ripoti kamili.

Audio Credit
Flora Nducha/Assumpta Massoi
Audio Duration
1'59"
Photo Credit
Samuel Okiror/IRIN