Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Machafuko yaendelea kuwafungisha virago Wasyria na kuingia Iraq

Machafuko yaendelea kuwafungisha virago Wasyria na kuingia Iraq

Pakua

Wakimbizi kutoka Syria wameanza kuwasili katika kambi ya Bardarash iliyoko jimbo la Duhok kaskazini mwa Iraq kufuatia mashambulizi yanayoendelea kaskazini-mashariki mwa Iraq wakati huu ambapo mashirika ya Umoja wa Mataifa yameripoti vifo pande zote kutokana na mapigano hayo.

Audio Credit
UN News/Assumpta Massoi
Sauti
1'47"
Photo Credit
Photo: Jodi Hilton/IRIN