Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNESCO yasema utamaduni na chakula ni chachu ya kutimiza SDGs

UNESCO yasema utamaduni na chakula ni chachu ya kutimiza SDGs

Pakua

Kongamano la kimataifa lililoandaliwa na shirika la Umoja wa Mataoifa la elimu , sayansi na utamaduni UNESCO limeanza leo mjini Parma Italia likimulika jinsi gani chakula na utamaduni vinavyoweza kutoa suluhu ya changamoto zinazoikabili dunia za ongezeko la idadi ya watu duniani, mabadiliko ya tabianchi na jukwaa kwa ajili ya majadiliano ya jamii jumuishi. 

Audio Credit
Arnold Kayanda
Audio Duration
2'1"
Photo Credit
Matthew Dakin