Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

FAO yasema mafua ya nguruwe aina ya Afrika yanasambaa kwa kasi Asia.

FAO yasema mafua ya nguruwe aina ya Afrika yanasambaa kwa kasi Asia.

Pakua

Shirika la chakula na kilimo FAO leo limesema mafua yahoma ya nguruwe aina ya Afrika yanasambaa kwa kasi barani Asia na tayari yameshaathiri nchi kadhaa za bara hilo

Audio Credit
Grace Kaneiya
Audio Duration
1'41"
Photo Credit
©FAO/Sue Price