Vijana wakifahamu SDGs, zitawasaidia wao wenyewe na watazisaidia familia na jamii zao-Dkt Francis Finias Majura

6 Septemba 2019

Francis Finias Majura, daktari kijana anayejishughulisha na ufanikishaji wa malengo ya maendeleo endelevu, SDGs nchini Tanzania anaeleza namna anavyowahamasisha vijana wenzake kuyaelewa malengo 17 ya maenfdeleo endelevu na namna yanavyoweza kuwakwamua vijana na familia zao.

Audio Credit:
Arnold Kayanda/Stella Vuzo
Audio Duration:
4'19"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud