Kila wiki mbili, lugha moja ya asili inapotea, wito wa kuzilinda watolewa.

9 Agosti 2019

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya watu wa asili inayoazimishwa kila tarehe 9 Agosti ya kila mwaka, ambapo maadhimisho yanaenda sambamba na mwaka 2019 ambao ni mwaka wa kimataifa wa lugha za asili ikilenga kusaka hatua za haraka kulinda, kuchagiza na kuendeleza lugha za asili. Wito umetolewa duniani kote kuweka juhudi za kuzitunza lugha za asili. Grace Kaneiya amefanya mahojiano na wadau mbalimbali kulijadili suala hili kwa kina.

Audio Credit:
Grace Kaneiya
Audio Duration:
8'24"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud