Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Biashara ya mtandao yasaidia kuinua kipato cha mwanamke mjasiriamali Burundi

Biashara ya mtandao yasaidia kuinua kipato cha mwanamke mjasiriamali Burundi

Pakua

Mchango wa wanawake ni muhimu katika kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu, SDGs, ambamo usawa wa kijinsia ni miongoni moja ya malengo hayo hatahivyo ufiaji wake bado ni changamoto.

Kwa mujibu wa shirikla la Umoja wa Mataifa linalohusika na maswala ya wanawake, UN Women kufikia usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake ni muhimu kwa kila lengo na kwamba haki hizo zitaweza kustawisha jamii, katika nyanja mbali mbali ikiwemo kiuchumi.

Kwa upande wao, wanawake wanajituma kila siku iili kuchangia katika ukuaji wa uchumi kwa namna mbali mbali. Nchini Burundi mwanamke mjasiriamali anatumia mtandao ili kuendeleza biashara yake, kulikoni? Ungana na Ramadhani Kibuga katika makala ifuatayo.

 

 

Audio Credit
Assumpta Massoi/Ramadhani Kibuga
Audio Duration
3'52"
Photo Credit
FAO/Giulio Napolitano