Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNHCR yasema watu milioni 12 duniani kote hawana utaifa.

UNHCR yasema watu milioni 12 duniani kote hawana utaifa.

Pakua

Kampeni ya #I Belong au #Miminiwa,  ikitimiza miaka minne mwezi  huu wa Novemba, Kamishna Mkuu wa wakimbizi duniani, Filippo Grandi ametaka serikali zichukue hatua za haraka kuhakikisha ifikapo mwaka 2024 tatizo la watu kutokuwa na utaifa linatokomezwa. 

Audio Credit
Siraj Kalyango
Audio Duration
1'38"
Photo Credit
© UNHCR/Diana Diaz