Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Sitisho la uchimbaji madini Chad laleta zahma kwa wahamiaji

Sitisho la uchimbaji madini Chad laleta zahma kwa wahamiaji

Pakua

Shirika la Kimataifa la Uhamiaji IOM linaomba jamii ya kimataifa  dola zaidi ya 500,000 ili kutoa msaada  wa kibinadamu kuweza kurejesha nyumbani maelfu ya wahamiaji walioathiriwa na hatua ya serikali ya Chad, ya  kusitisha shughuli zote za uchimbaji huko Miski na Kouri Bougri, ambayo ni miongoni mwa machimbo makubwa zaidi ya dhahabu nchini humo.

Audio Credit
John Kibego
Audio Duration
1'24"
Photo Credit
Wakimbizi wa ndani katika kambi ya IDPs huko Mellia, Tchad. Picha: OCHA / Ivo Brandau