Kushika malengo yote 17 ni hatua ya kwanza na muhimu katika utekelezaji wake-Assad
Pakua
Wakati miaka ikiendelea kusonga kuelekea ukomo wa utimizaji wa malengo 17 ya maendeleo endelevu yaani SDG’s hapo 2030, nchi zinakabiliwa na changamoto mbalimbali katika utekelezaji ambazo ni muhimu zikashughulikiwa mapema, ikiwemo nchini Tanzania.
Audio Credit
Siraj Kalyango/ Grace Kaneiya
Audio Duration
1'52"