Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mandela daima mchango wako utakumbukwa-UN

Mandela daima mchango wako utakumbukwa-UN

Pakua

Miaka 100, tangu kuzaliwa kwa Mandela imeadhimishwa hii leo katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, na inatoa fursa ya  kipeke kwa jamii duniani kote, kutafakari juu ya maisha, urithi  na kufuata wito wake ikiwa ni pamoja na "kufanya ulimwengu kuwa mahali bora zaidi."

Katika makala hii Assumpta Massoi, amekusanya maoni mbalimbali kutoka kwa wasikilizaji wetu nchini Tanzania ambao kwa nyakati tofauti wamezungumzia kazi, wito na juhudi za nguli huyo wa amani dunaini.

Nini kilichojiri? Ungana naye katika makala hii upate undani zaidi.

 

Audio Credit
Grace Kaneiya/ Assumpta Massoi
Audio Duration
3'49"
Photo Credit
United Nations Postal Administration (UNPA)