Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kenya tumeweka mikakati kabambe kuhakikisha tunafikia SDGs-Gituka

Kenya tumeweka mikakati kabambe kuhakikisha tunafikia SDGs-Gituka

Pakua

Wakati jukwaa la ngazi ya juu la kutathmini utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu, SDGs likiendelea jijini New York, Marekani, Kenya imesema imeweka mipango kabambe kuhakikisha inafanikisha malengo hayo. Licha ya kwamba kuna changamoto lakini Kenya imeelezea kuoanisha  malengo katika wizara na kazi zingine za serikali kama moja ya mbinu za kuhakikisha malengo hayo yanasogezwa mbele. Basi ungana na Grace Kaneiya ambaye amezungumza na Isaac Kamande Gituka kutoka wizara ya mipango nchini Kenya, hapa anaanza kwa kuelezea namna serikali ya Kenya iliweka mikakati kunaza kutekeleza SDGs...

Audio Credit
Grace Kaneiya
Audio Duration
3'54"
Photo Credit
UN-Habitat/Julius Mwelu