Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanawake wana mchango mkubwa katika uhifadhi wa misitu:Bi Buhero

Wanawake wana mchango mkubwa katika uhifadhi wa misitu:Bi Buhero

Pakua

Mwanamke ndio nguzo ya familia kwa kila nyanja iwe kusaka kuni, kulea watoto na hata kuinua pato la familia. Hivyo katika kuhifadhi na pia kuharibu misitu mkono wao pia umo. Flora Nducha ameketi na Amina Akida Buhero afisa misitu anayefanya kazi na wakala wa huduma za misitu Tanzania iliyopo chini ya wizara ya mali asili na utalii na kuchambua mchango wa mwanamke katika uhifadhi wa misitu hususan Tanzania.

Audio Duration
4'5"
Photo Credit
Msitu nchini DRC.(Picha:UM/Clara Padovan)