Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Miaka 70 ya tume ya sheria ya UN ni ya mafanikio

Miaka 70 ya tume ya sheria ya UN ni ya mafanikio

Pakua

Tume ya sheria ya Umoja wa Mataifa mwaka huu inatimiza miaka 70, na imeelezwa kuwa imekuwa na mchango mkubwa katika masuala ya haki na sheria duniani.

Audio Credit
UN News , Siraj Kalyango
Sauti
1'37"
Photo Credit
Rungu atumialo jaji mahakamani. (Picha:tovuti-ICTR )