Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wananchi wana wajibu mkubwa wa kuepusha majanga: UN

Wananchi wana wajibu mkubwa wa kuepusha majanga: UN

Pakua

Ajenda ya malengo ya maendeleo enedelevu SDGs ya mwaka 2030 inahimiza serikali, asasi zakiraia na mashirika ya kibinadamu kuweza kupigia chepuo  suala la ulinzi wa mazingira ili kuepuka majanga kama nvua za kupindukia, vimbunga, mafuriko na kadhalika. Mwandishi wetu kutoka maziwa makuu Ramadhan Kibuga leo ametembelea eneo la Gatunguru nje kidogo ya jiji la Bujumbura Burundi, na kushuhudia athari za tatizo la mvua kubwa za kila wakati na kusababisha maporomoko ya ardhi. Amebahatika pia kuzungumza na waathirika  wa mafuriko hayo na pia wananchi wengine ili kupata taswira ya nini kifanyike kupata ufunbuzi wa tatizo hili.ungana nae katika Makala hii.

 

Audio Credit
Ramadhan Kibuga
Audio Duration
4'1"
Photo Credit
Picha ya UNAMA/Fardin Waezi