Walimu wasikate tamaa, wajitahidi kufundisha: Mwalimu mstaafu Kabera
Henry Stephen Kabera ni mwalimu mstaafu nchini Tanzania ambaye alifundisha shule za sekondari ikiwemo ile ya wavulana ya Songea na akamalizia utumishi wa ke wa umma kwenye shule ya sekondari ya Ruvuma.