Kongamano la wiki ijayo ni muhimu katika kutafuta suluhu kwa mzozo Syria:Ban
Kongamano la kimataifa kuhusu harakati za amani nchini Syria, linatazamiwa kuanza wiki ijayo mnamo tarehe 20 Januari.
Kongamano la kimataifa kuhusu harakati za amani nchini Syria, linatazamiwa kuanza wiki ijayo mnamo tarehe 20 Januari.
Wakati taifa la Somalia likjitutumua katika ustawi wake kiuchumi, kisiasa na kijamii, juhudi hizo zinakumbana na vikwazo mbalimbali ikiwamo tishio la usalama wa mawasiliano kimtandao.
Si rahisi kufikiria kwamba katikati ya mizozo watu wanaweza kupata elimu! Lakini hilo limetokea huko Sudani Kusini ambapo licha ya mapigano ya kikabila yanayoendelea nchini humo, wanafunzi wa shule ya msingi wanafanya mitihani ya kuhitimisha elimu ya msingi.
Ni tukio lenye hisia na majonzi, ni tukio linalokumbusha vifo visivyotarajiwa. Pia tukio hili linakumbusha uharibifu mkubwa wa miundombinu ya nchi. Hii ni Haiti inayoadhimisha miaka minne tangu tetemeko la ardhi liipige na kusababisha maafa .
Vijana, wake kwa waume hukimbia makwao kutokana na usalama au kusaka maisha bora na wakati mwingi hukumbana na changamoto nyingi wakati wakitafuta hifadhi katika nchi zingine haswa zilizostawi.
Elimu ni muhimu katika mustakhabali wa maisha ya kila mtoto na ni kwa sababu hii UNICEF inaendesha mafunzo katika familia ambazo zimejikuta katika kambi, licha ya kuwepo amani bado watu hawa wanakabiliwa na changa moto nyingi katika masiha ya kila siku basi ungana na Joseph Msami kati
Mnamo Alhamisi wiki hii, Kongamano la ngazi ya juu limefanyika huko Washington DC likiangazia vichocheo vya kijamii vinavyoweza kusaidia kutokomeza Ukimwi na umaskini uliokithiri.
Ukifikiria Umoja wa Mataifa hapana shaka unawaza juu ya jamii mbalimbali, tamaduni zao na tofuti zao zikiwa pamoja katika taasisi hii ya kimataifa. Na pia hapana shaka unawaza kuhusu masuala ya kisiasa na diplomasia ya kimataifa.
Utapiamlo ni janga la kitaifa nchini Niger na unaathiri mamia ya maelfu ya watoto.
Ni janga ,ambalo UNICEF na wadau wanajaribu kukabilina nalo kufuatia mradi bunifu wa kutoa mafunzo kwa akina mama kuweza kupima utapiamlo.
Mapigano nchini Sudan Kusini yamesababisha wimbi jipya la wakimbizi wanaowasili katika nchi jirani kutafuta usalama.