Wanawake Tanzania wainua vipato vyao kwa kutumia teknolojia
Wanawake nchini Tanzania wanasema kwa kutumia teknolojia wamefanikiwa kuinua vipato vyao katika ujasiriamali na hivyo kuwasaidia katika kuinua uchumi wa familia na jamii nzima kwa ujumla.
Wanawake nchini Tanzania wanasema kwa kutumia teknolojia wamefanikiwa kuinua vipato vyao katika ujasiriamali na hivyo kuwasaidia katika kuinua uchumi wa familia na jamii nzima kwa ujumla.
Mitaji midogo nauhuru walionao wanawake ni sehemu ya nyenzo muhimu ambazo ikiwa watazitumia zinaweza kuwainua kiuchumi na hata kijamii, amesema mmoja wa wanawake wafanyabiashra wakubw anchini Uganda
Tukiwa tunaelekea siku ya wanawake duniani March 8, je wanawake walioko katika meoneo yaliyokumbwa na mizozo wanafanya nini kujikomboa kiuchumi na kijamii?
Ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni UNESCO kuhusu elimu kwa wote ambalo ni lengo namba mbili la Milenia, imebaini kuwa kasoro katika sekta ya elimu hugharimu serikali duniani kote dola Bilioni 129 kwa mwaka.
Nchini Tanzania Jumapili hii kutafanyika mbio za kimataifa za marathoni za Kilimanjaro Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya watu, UNFPA itatumia mbio hizo kueneza ujumbe wa kupinga mimba na ndoa za utotoni.
Maadhimisho ya siku ya utumwa na biashara ya utumwa huadhimishwa kila mwaka Machi 25. Katika kuanza kumbukumbu ya maadhimisho ya mwaka huu yalifunguliwa rasmi na onyesho la filamu Miaka 12 utumwani ambayo mmoja wa waigizaji ni Lupita Nyon'go kutoka Kenya.
Harakati za kutekeleza malengo ya maendeleo ya Milenia zinazidi kushika kasi kila uchao kuhakikisha ukomo wake unapofikia mwaka 2015, malengo yote manane yanakuwa yametekelezwa.
Waswahili husema dalili za mvua ni mawingu, na panapofuka moshi kuna moto. Hii ni misemo inayoweza kuitumika kuelezea matumaini ya kutekelezeka kwa mkataba wa kuwarejesha makwao kwa hiari wafungwa wa Somalia waliko nchini Kenya zoezi ambalo awali lilikwama.
Hivi karibuni shirika la Umoja wa Mataifa la elimu sayansi na utamaduni UNESCO lilichapisha taarifa iliyoanisha hali ya elimu ya msingi duniani ambapo pamoja na mambo mengine ripoti hiyo inaonyesha kuwa kati ya vijana wanne mmoja hajui kusoma duniani kutokana na ukweli kwamba elimu hiyo
Februari 21 ni siku ya lugha ya mama duniani, siku hii huadhimishwa kusherehekea uwepo wa lugha nyingi na tamaduni tofauti kote ulimwenguni. Lugha ya mama ni lugha ya kwanza imtokayo mtu pale anapoanza kuwa na uwezo wa kuzungumza.