Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

18 JULAI 2024

18 JULAI 2024

Pakua

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea 

-WFP limeonya kwamba amri ya hivi karibuni kabisa ya Jeshi la Israel ya watu kuondoka Gaza imesababisha idadi kubwa zaidi ya watu kutawanywa tangu mwezi Oktoba mwaka jana.

-Leo ni siku ya kimtaifa ya Nelson Mandel mwaka huu ikibeba maudhui “Bado ni jukumu letu kutokomeza njaa na pengo la usawa” 

-Hatua za haraka zinahitajika  kuhakikisha  haki za binadamu katika vituo vya rumande nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR,  kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa leo na Ofisi ya Haki za Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa na Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa Kuleta Utulivu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati MINUSCA

-Mada yetu kwa kina leo inaangazia siku ya Mandela na jinsi  watu wanavyomfahamu na kuenzi mchango  wake

-Na matika jifunze Kiswahili tunakupeleka  Baraza la Kiswahili Zanzibar BAKIZA nchini Tanzania kupata ufafanuzi waneno HAZAMA

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
9'58"