Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki- Methali: La kuvunda halina ubani

Neno la Wiki- Methali: La kuvunda halina ubani

Pakua

Hii leo katika kipengele cha Neno la Wiki tunapata uchambuzi wa methali, "La kuvunda halina ubani" na mchambuzi wetu ni Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar BAKIZA.

Audio Credit
Flora Nducha/Mwanahija Ali Juma
Audio Duration
1'44"
Photo Credit
UN