Ari ya watoto wakimbizi kutaka kusoma inanipa motisha kufundisha
Pakua
Kutana na mwalimu kutoka nchini Uturuki anayesema janga la corona au coronavirus">COVID-19 lilimvunja moyo na kumkatisha tamaa, lakini ari ya wanafunzi wake ambao asilimia kubwa ni wakimbizi kutoka kutoka Syria ilimpa nguvu ya kuendelea kufundisha.
Audio Credit
Flora Nducha- Jason Nyakundi
Audio Duration
1'56"