Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanangu wanakula na kuvaa sababu ya mradi wa UNHCR wa ufugaji wa inzi: Mkimbizi Francine

Wanangu wanakula na kuvaa sababu ya mradi wa UNHCR wa ufugaji wa inzi: Mkimbizi Francine

Pakua

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR nchini Zimbabwe kwa ufadhili wa Benki ya Dunia limeanzisha mradi wa kuwasaidia wakimbizi wakulima na wafugaji katika kambi ya wakimbizi ya Tongogara nchini humo. Mradi huo wa majaribio ni wa ufugaji wa inzi kwa ajili ya kutengeneza chakula cha mifugo kama kuku. Wanufaika wakubwa ni wakimbizi wa kambini hapo. 

Je wananufaika vipi? Ambatana na Flora Nducha akimmulika mmoja wa wanufaika hao mkimbizi kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, katika makala hii

Audio Credit
Flora Nducha
Sauti
3'13"
Photo Credit
© FAO/Believe Nyakudjara