Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Msemo: Kauka nikuvae sanduku msumari

Msemo: Kauka nikuvae sanduku msumari

Pakua

Katika kujifunza Kiswahili, leo tunafafanuliwa  maana ya msemo "KAUKA NIKUVAE SANDUKU MSUMARI" na mchambuzi wetu ni   Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania, BAKITA. Karibu!

Audio Credit
Onni Sigalla
Audio Duration
1'2"
Photo Credit
Habari za UN