Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

JIFUNZE KISWAHILI: Misemo - 'Ndoa imejibu', 'Andaa meza'

JIFUNZE KISWAHILI: Misemo - 'Ndoa imejibu', 'Andaa meza'

Pakua

Hii leo katika kujifunza lugha ya Kiswahili, mchambuzi wetu Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi katika Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anaeleza maana ya misemo na anachambua misemo miwili; 'andaa meza' na 'ndoa imejibu." Karibu

Audio Credit
Assumpta Massoi/Onni Sigalla
Audio Duration
1'25"
Photo Credit
UN