Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki- "Shimo la ulimi mdomo haufuniki"

Neno la Wiki- "Shimo la ulimi mdomo haufuniki"

Pakua

Leo katika kujifunza kiswahili tutasikia kutoka kwa mchambuzi wetu Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kituo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia methali "SHIMO LA ULIMI MDOMO HAUFUNIKI”

Audio Credit
Josephat Gitonga
Audio Duration
1'18"
Photo Credit
UN