Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jarida 03 Februari 2022

Jarida 03 Februari 2022

Pakua

Miongoni mwa yaliyomo


UNICEF yasaidia familia zinazokabiliwa na ukame na utapiamlo katika maeneo ya nyanda za chini nchini Ethiopia uliosababishwa na mvua kutonyesha katika misimu mitatu.


Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR linaendelea kufanya kila jitihada kuwasaidia wakimbizi na raia wa Lebanon ambao wanakabiliana na moja ya misimu yenye baridi kali. 


Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametaka kila mtu kuzingatia azimio la sitisho la mapigano wakati wa mashindano ya michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi kali.


Na leo mashinani tutaelekea nchini Iraq kusikia ndoto ya mkimbizi ya kutaka kuisaidia dunia. Karibu!
 

Audio Credit
Leah Mushi
Audio Duration
12'7"