Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nneno la Wiki- Aingiaye pasi hodi huondoka pasi kuaga

Nneno la Wiki- Aingiaye pasi hodi huondoka pasi kuaga

Pakua

Leo katika kujifunza Kiswahili, tunapata ufafanuzi wa methali, "Aingiaye pasi hodi huondoka pasi kuaga" na mchambuzi wetu ni Josephat Gitonga, mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi katika kituo cha tafsiri na ukalimani nchini Kenya.

Audio Credit
Josephat Gitonga
Audio Duration
1'8"
Photo Credit
UN