Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Magari yanayopelekwa kwenye nchi zinazoendelea ni chini ya kiwango-Ripoti

Magari yanayopelekwa kwenye nchi zinazoendelea ni chini ya kiwango-Ripoti

Pakua

Mamilioni ya magari yaliyokwisha kutumiwa, ambayo yameuzwa katika nchi zinazoendelea, hayafai, yana ubora wa chini na yanachangia kwa kiasi kikubwa katika uchafuzi wa hewa na hivyo kutatiza juhudi za kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi, imesema ripoti mpya ya Shirika la mazingira la Umoja wa Mataifa UNEP

Audio Credit
Flora Nducha- Anold Kayanda
Audio Duration
4'47"
Photo Credit
UNAMA/Nasim Fekrat