Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki - Hayati na Marehemu tofauti ni ipi?

Neno la Wiki - Hayati na Marehemu tofauti ni ipi?

Pakua

Hii leo katika Neno la Wiki, Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi kutoka Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA, anatofautisha maana ya maneno 'Hayati' na 'Marehemu'.  Katika uchambuzi wake wa maneno hayo yenye etimolojia ya kiarabu, anafafanua tofauti katika matumizi. Karibu!

Audio Credit
Assumpta Massoi/Onni Sigalla
Audio Duration
1'14"
Photo Credit
UN