Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

NENO LA WIKI-Lisemwalo lipo, kama halipo laja

NENO LA WIKI-Lisemwalo lipo, kama halipo laja

Pakua

Neno la wiki ni methali "Lisemwalo lipo kama halipo laja"  mchambuzi ni Josephat Gitonga, mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi katika kituo cha tafsiri na ukalimani

Audio Credit
Josephat Gitonga
Audio Duration
59"
Photo Credit
UN News Kiswahili