Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

18 Mei 2020

18 Mei 2020

Pakua

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema janga la virusi vya corona ni kengele ya kutuamsha sote hivyo ni wakati wa kushikamana na kusaka kinga na tiba. IAEA yapokea zaidi ya dola milioni 4 kusaidia nchi kupambana na coronavirus">COVID-19. UNHCR yagawa msaada kwa waomba hifadhi Libya kwa ajili ya coronavirus">COVID-19 na Ramadhan. 

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
14'29"