Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno La Wiki- Mla nawe hafi nawe ila mzaliwa

Neno La Wiki- Mla nawe hafi nawe ila mzaliwa

Pakua

Katika Neno la wiki   mchambuzi wetu Josephat Gitonga, mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi katika kituo cha tafsiri na ukalimani anafafanua maana ya methali Mla nawe hafi nawe ila mzaliwa nawe 

Audio Credit
Josephat Gitonga
Audio Duration
40"
Photo Credit
UN News Kiswahili