Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

NENO LW WIKI- "JIZATITI"

NENO LW WIKI- "JIZATITI"

Pakua

Leo katika kujifundisha Kiswahili tutasikia likichambuliwa neno "Jizatiti" ambapo kwa mujibu wa mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania BAKITA Onni Sigalla anasema kunakuwa na changamoto katika matamshi ya neno hili, ungana naye kwa maelezo zaidi.

Audio Credit
Onni Sigalla
Audio Duration
48"
Photo Credit
UN News Kiswahili