Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

1 Agosti 2024

1 Agosti 2024

Pakua

Karibu kusikiliza jarida la habari za Umoja wa Mataifa ambalo leo linaletwa kwako na Flora Nducha ambalo kwanza linaanza na muhtasari wa habari unaoangazia njaa nchini Sudan, kuanza kwa wiki ya unyonyeshaji duniani na watoto wa Gaza kuanza kufundishwa kwa njia mbadala ambayo sio madarasani. 

Kisha utasikiliza mada kwa kina kutoka Bahrain inayoangazia uchumi wa rangi ya chungwa, ukijulikana pia kama uchumi utokanao na ubunifu, na mwisho utajifunza kiswahili hii leo utapata maana ya neno Kangaya. 

Audio Credit
Flora Nducha
Sauti
10'