Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Makala: Je akili mnemba AI ni faida au athari katika sekta ya filamu?

Makala: Je akili mnemba AI ni faida au athari katika sekta ya filamu?

Pakua

Hii leo makala inamulika Akili Mnemba au AI ambayo imebadili fani mbali mbali ikiwemo ya sanaa. Ni kwa kutambua umuhimu wa suala hili shirika la umoja wa mataifa la elimu, sayansi na utamaduni, UNESCO limeandaa mjadala maalum kuhusu akili mnemba kwenye sekta ya filamu unaoendelea huko Paris Ufaransa. Ajenda inajikita ni manufaa na changamoto kwa sekta ya sanaa ukizingatia maadili  na ubunifu. Yvonne Muinde mchanganya picha za filamu ni msanii aliyebobea kwenye sekta ya ubunifu na dijitali na mshiriki wa mjadala huo wa UNESCO ulioanza jana. Mwandishi wetu wa Nairobi Thelma Mwadzaya alimtembelea ofisini kwake mjini Nairobi na kuandaa makala hii.

Audio Credit
Assumpta Massoi/Thelma Mwadzaya
Sauti
5'51"
Photo Credit
UN News/Thelma Mwadzaya