Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mahakama zinapaswa kuwa huru na zisiegemee upande wowote- Dkt. Laltaika

Mahakama zinapaswa kuwa huru na zisiegemee upande wowote- Dkt. Laltaika

Pakua

Katika mwendelezo wa uchambuzi wa tamko la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa, leo tunaangazia ibara ya 10 ambayo inasema kwamba Kila mtu mwenye kesi ana haki ya kusikilizwa kwa haki katika mahakama iliyo wazi kwa umma,yenye kujitegemea, huru na isiyo na upendeleo. Nini basi maana ya ibara hii? na je nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa ambazo zimeridhia tamko hili zinafuata? Kufahamu hayo na mengine mengi, Assumpta Massoi amezungumza na Dkt. Elifuraha Laltaika, mhadhiri wa sheria kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira nchini Tanzania na anaanza kwa kuelezea historia ya ibara hiyo.

Soundcloud
Audio Credit
Grace Kaneiya/Assumpta Massoi/Elifuraha Laltaika
Audio Duration
4'8"
Photo Credit
UN News