Baa la njaa lasababisha wanavijiji kukimbia makwao
Pakua
Tatizo la mabadiliko ya tabianchi ni kikwazo kikubwa kwa wanawake viijijini ambako ukosefu wa mvua na ukame vinakwamisha uzalishaji wa mazao, hivyo kufanya maisha kuwa magumu kwa siyo tu kwa wanawake hao bali pia jamii ambazo zinawategemea.
Je ni kwa vipi athari hizo ni mwiba kwa wanawake? Fuatana nami basi Patrick Newman hadi nchini Nepal ambako mabadiliko ya tabianchi yameleta baa la njaa katika baadhi ya vijiji na kusababisha baadhi ya wananchi kuhamia nchi za nje, kutafuta maisha bora
Audio Duration
3'36"