Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vijana nchini Zambia ni mfano wa kuigwa katika kilimo

Vijana nchini Zambia ni mfano wa kuigwa katika kilimo

Pakua

Ufugaji samaki ni biashara inayo wakwamua vijana wengi nchini Zambia na tatizo la ajira. Shirika la kazi duniani ILO na lile chakula na kilimo FAO kwa pamoja na serikali ya Zambia wameanzisha mradi wa kuwawezesha vijana vijijini kwa kuwapa mafunzo ya ujasiriamali katika kilimo na ufungaji, ikiwa ni mpango wa malengo ya maendeleo endelvu ya mwaka 2030 katika kutokomeza umasikini.

Mwandishi wetu Selina Joroboni amefualitlia kwa ukaribu , mradi huu unavyowawezesha vijana katika wialya  cha Chongwe, nchini  Zambia. Je vijana hawa wamewezaje kujikwamua na umasikini? Unagana naye katika makala hii kwa undani zaidi.

Audio Duration
44"
Photo Credit
Uvuvi wa samaki katika ziwa Victoria. Picha kutoka video ya UNIFEED.