05 JANUARI 2021
Katika Jarida la Habari za UN hii leo Flora Nducha anakuletea
-Wakimbizi kutoka Tigray Ethiopia waendelea kumiminika Sudan na mahitaji yao yanaongezeka lasema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR

Mafuriko yanayozidi kukosesha watu wengi makazi hasa katika maeneo ya ziwa Albert nchini Uganda sambamba na athari za COVID-19 yameathiri ustawi wa watu katika matabaka mbalimbali.Vijana hasa wa kike wanaripotiwa kuingia katika hatari za kubakwa, na kutumbukia kwenye ndoa za utotoni na madhara ya
Katika Jarida la Habari za umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea
-Watu zaidi ya 100 wauawa katika shambulio kwenye jimbo la Tillaberi nchini Niger, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa alaani vikali shambulio hilo na kutaka wahusika wakamatwe na kuwajibishwa.