Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

30 APRILI 2021

Katika Jarida la Habari za Umoja wa Mataifa hii leo ikiwa ni mada kwa kina Grace Kaneiya anakuletea 

-Ripoti ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kuhusu ukimwi imependekeza masuala 10 ya kuzingatia kutokomeza janga hilo ifikapo 2030 na kutimiza ajenda ya SDGs.

Sauti
12'20"
WFP/Giulio d'Adamo

IFAD/ADB: Afrika lazima iimarishe haraka mifumo ya chakula ili kujikwamua vyema na COVID-19

Mfuko wa kimataifa wa maendeleo ya kilimo IFAD na Benki ya Maendeleo Afrika ADB, kwa kushirikiana na jukwaa kwa ajili ya utafiti wa kilimo Afrika FARA, wanaendesha mazungunmzo ya ngazi ya juu ya siku mbili yenye lengo la kulichagiza bara la Afrika kuhakikisha linajikwamua vyema na janga la corona

Sauti
2'34"
Photo: IOM Burundi / Gustave Munezero

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR lataka msaada zaidi kwa warundi wanaorejea nyumbani Burundi

Akihitimisha ziara ya siku mbili nchini Burundi, Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, Filippo Grandi, amepongeza juhudi zilizofanywa kusaidia wakimbizi kupata suluhu ya muda mrefu katika taifa  hilo ambalo ni kiini cha ukanda wa Maziwa Makuu. 

Sauti
2'7"