Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

31 Machi 2021

Hali ni tete Cabo Delgado, mashirika ya UN yahaha kunususu raia. Huduma kwa wajawazito Libya zinazowezeshwa na UNHCR mkombozi wa wakimbizi wa Eritrea. Nchini Kenya kampeni ya kulinda wanyamapori nayoongozwa na shirika la mazingira la Umoja wa Mataifa, UNEP imezidi kupanua wigo w

Sauti
12'7"

29 Machi 2021

Kikosi cha 13, TANZBATT-13, cha wanajeshi wa Tanzania wanaolinda amani jimboni Darfur nchini Sudan kupitia UNAMID ambao ni ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa Africa, AU, kimetamatisha jukumu lao na leo tunamulika tathmini yao wenyewe kama anavyosimulia Koplo Japhet Chakula, afisa

Sauti
10'10"