Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

30 NOVEMBA 2021

Karibu kusikiliza jarida ambapo miongoni mwa tuliyokuandalia hii leo ni pamoja na vipimo vya VVU vyapungua UNITAID  waomba ufadhili zaidi, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF linatumia mabalozi wake watoto ambao ni wachechemuzi

Sauti
12'55"