Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

Photo FAO/Marco Salustro

Matunda ni lishe muhimu katika mlo wa kila siku

Emmanuel Mwanjisi ni Afisa lishe kutoka hospitali ya Consolatha, Ikonda, katika wilaya ya Makete, nyada za juu kusini mwa Tanzania, akieleza faida za ulaji wa mbogamboga na matunda katika mwili wa binadamu ameeleza kuwa wataalamu wa lishe wanapohamasisha ulaji wa matunda hawamaanishi kuwa ni lazi

Sauti
3'50"