Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

27 Mei 2021

Hii leo jaridani Leah Mushi anaanzia na habari za ulinzi wa amani ikiwa ni kuelekea siku ya walinda amani duniani tarehe 29 mwezi huu wa Mei. Atakupelekea Ghana kuangazia jinsi ilivyobainika kuwa masomo ya darasani kwa kiasi kikubwa bado hayamwezeshi kijana kujikimu maisha yake mtaani.

Sauti
13'21"