Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

29 Januari 2021

Hii leo Ijumaa ni mada kwa kina , leo tutaelekea Nairobi, mji mkuu wa Kenya ambapo tutakutana na mfanyakazi wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR Wanja Munaita akielezea jinsi alivyoweza kutimiza ndoto yake kuanzia kusaidiwa na shirika hilo hadi yeye kusaidia wengine kupiti

Sauti
10'45"
Frontex/Francesco Malavolta

Mizozo pembe ya Afrika na majanga ya asili Sahel yasukuma watu kuweka maisha yao rehani Mediteranea

Wakati zahma zikiongezeka katika nchi za Afrika zilizo Kusini mwa jangwa la Sahara na kuwalazimisha mamilioni ya watu kufungasha virago, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limetoa raia ya kuongeza juhudi za kuwasaidia wakimbizi na wahamiaji hasa wanaobidi kupitia njia hatari

Sauti
2'36"

28 Januari 2021

Hii leo jaridani Flora Nducha anaanza na vipaumbele vya mwaka huu wa 2021 vya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ambavyo ni 10. Kisha anakwenda Tanzania kutamatisha sehemu ya pili ya taarifa kuhusu jinsi mashirika ya Umoja wa Mataifa yameleta kujiamini kwa wasichana Angel na Fatma.

Sauti
14'3"