Mimba za utotoni sio kupenda kwetu – Wasichana Morogoro
Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Watoto – UNICEF, ndoa za utotoni ni zile zote zinanofungwa kabla ya wanandoa kufikia umri wa miaka 18, huu ni ukiukwaji wa haki za binadamu. Japokuwa sheria zinapinga ndoa hizi, lakini tabia hii mbaya bado inaendelea ulimwenguni k